title : WAZEE UPANGA MASHARIKI WAULA
kiungo : WAZEE UPANGA MASHARIKI WAULA
WAZEE UPANGA MASHARIKI WAULA
Mwambawahabari
Na Heri Shaaban
KATA ya Upanga Mashariki wametekeleza agizo la Rais kwa kuwapatia vitamburisho vya Bima ya Afya kwa ajili ya matibabu wazee 48 .
Akizindua mpango endelevu wa Serikali Dar es Salaam (leo) Ofisa Mtendaji wa Upanga Mashariki Nahshon Marwa alisema awali zoezi hilo lilizinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema kwa ajili ya kuwapatia vitamburisho wazee wote wasiojiweza.
"Mpango huu wa kutoa kadi ya Bima ya matibabu tumetekeleza kwa ajili ya kuwapa wazee wetu ambao wamestafu kazi awali tulipita katika mitaa yao kuakiki kwa ajili ya kuwafanyia usaili na kujua Idadi yao" alisema Marwa.
Alisema Upanga Mashariki kuna mitaa Miwili Mtaa wa Kibasila na Mtaa Kitonga na ina jumla ya wakazi 1,1,167 kaya 2270
na wazee waliopo 250 .
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Upanga Mashariki Rukiya Riyami, alipongeza mpango huo wa Serikali katika kuwathamini wazee nchi zima .
Rukiya alisema mpango huo mzuri kwa wazee waliostaafu waweze kupatiwa matibabu katika vituo vya afya vyote vya serikali wanampongeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema ambaye alizindua ngazi ya Wilaya na kutoa maelekezo ngazi ya kata watekeleze.
Aliwataka Viongozi wengine wa Serikali kuwa wabunifu na kuibua mambo mapya katika kutekeleza agizo la Serikali .
Mwisho
Hivyo makala WAZEE UPANGA MASHARIKI WAULA
yaani makala yote WAZEE UPANGA MASHARIKI WAULA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZEE UPANGA MASHARIKI WAULA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/wazee-upanga-mashariki-waula.html
0 Response to "WAZEE UPANGA MASHARIKI WAULA"
Post a Comment