title : Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018
kiungo : Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018
Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018
Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018
Idadi kubwa ya wafanyakazi kutoka kampuni ya TBL Group wameshiriki mbio za Kili Marathon zilizofanyika mkoani Kilimanjaro.Mashindano haya maarufu duniani yanadhaminiwa na kampuni hiyo kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premier Lager.
Mwaka huu TBL Group imekuja na ajenda ya kuwezesha na kuhamasisha upandaji mti katika maeneo yanayozunguka mlima Kilimanjaro ili kulinda mazingira,ambapo kwa kushirikiana na taasisi ya Kilimanjaro Project, inatarajia kupanda miti 100,000.
Uhamasishaji wa mradi huu umeanza kutekelezwa wakati wa mashindano ya Kili Marathon yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakipongezana baada ya kumalizika mashindano ya Kili Marathon
Moja ya vibanda vyenye vipeperushi vya kampeni ya kupanda miti na maelezo vilivyokuwa vimewekwa mitaa mbalimbali ya mji wa Moshi
Moja ya vibanda vyenye vipeperushi vya kampeni ya kupanda miti na maelezo vilivyokuwa vimewekwa mitaa mbalimbali ya mji wa Moshi
Hivyo makala Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018
yaani makala yote Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/wafanyakazi-tbl-walivyoshiriki.html
0 Response to "Wafanyakazi TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018"
Post a Comment