SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA

SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA
kiungo : SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA

soma pia


SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA

 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Bharti Bi. Tina Uneken-van de Vreede akiwa ameongozana na mwanasheria mkuu wa kampuni hiyo Bw. Mukesh Bhavnani pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano walipowasili kwa ajili ya kuanza rasmi kwa mazungumzo kati ya Serikali na kampuni hiyo kwa lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam
 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Bharti Bi. Tina Uneken-van de Vreede (kushoto) akiwa na mwanasheria mkuu wa kampuni hiyo Bw. Mukesh Bhavnani (kushoto kwa waziri) pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano (kushoto) walipowasili kwa ajili ya kuanza rasmi kwa mazungumzo kati ya Serikali na kampuni hiyo kwa lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam 
 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akipeana mikono na mwanasheria mkuu wa kampuni ya Bharti  Bw. Mukesh Bhavnani walipokutana  kwa ajili ya kuanza rasmi kwa mazungumzo kati ya Serikali na kampuni hiyo kwa lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam  at5
 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akiongozana na mwanasheria mkuu wa kampuni ya Bharti  Bw. Mukesh Bhavnani  pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Bharti Bi. Tina Uneken-van de Vreede na  Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano  walipokutana  kwa ajili ya kuanza rasmi kwa mazungumzo kati ya Serikali na kampuni hiyo kwa lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam  
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akiongoza ujumbe wa serikali katika mazungumzo na mwanasheria mkuu wa kampuni ya Bharti  Bw. Mukesh Bhavnani  pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni hiyo Bi. Tina Uneken-van de Vreede na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano  walipoanza rasmi mazungumzo yenye lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU


Hivyo makala SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA

yaani makala yote SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/serikali-yaanza-rasmi-mazungumzo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAANZA RASMI MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA BHARTI AIRTEL JUU YA UMILIKI WA AIRTEL TANZANIA"

Post a Comment