PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA

PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA
kiungo : PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA

soma pia


PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa , akikata utepe kuzindua rasmi taarifa ya Klaimatolojia ya mwaka 2017, wakati alipofungua baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), linalofanyika Mkoani Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt. Agnes Kijazi.
 Wajumbe wa Mkutano wa baraza la Wafanyakazi  wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani), wakati wa ufunguzi wa baraza hilo mkoani Dodoma.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kulia), akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa Nchini (TMA), Dkt. Agness Kijazi mara baada ya ufunguzi wa  baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka hiyo Mkoani Dodoma.
 Afisa Utumishi Mkuu aliyemuwakilisha Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Sekta ya Uchukuzi, Banaga Katabazi, akitoa shukrani mara baada ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) kufungua baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), linalofanyika Mkoani Dodoma.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali Hewa Nchini (TMA), mara baada ya kulifungua Mkoani Dodoma.


Hivyo makala PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA

yaani makala yote PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/prof-mbarawa-awataka-watendaji-kutumia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "PROF. MBARAWA AWATAKA WATENDAJI KUTUMIA HEKIMA KUONGOZA"

Post a Comment