MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA

MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA
kiungo : MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA

soma pia


MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii

MWILI wa aliyekuwa Mbunge  wa  Kigoma  Mjini, Mbunge  wa  Bunge la  Afrika  Mashariki na Mwenyekiti mstaafu  wa  Chama Cha Mapinduzi(CCM), Mkoa wa Kigoma Dk.Amani Walid Kaburu ambaye amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili unatarajiwa kusafirishwa kesho.

Taarifa zilizotufikia zinaeleza mwili wa Dk.Kaburu utasafirishwa kwenda mkoani Kigoma kwa ajili ya kuupumzisha kwenye nyumba yake ya milele.

Dk.Kaburu kabla ya kufikwa na umauti alikuwa Hospitali ya Muhimbili ambapo alifikishwa kwa ajili ya matibabu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya kupooza mwili(kiharusi).

Kwa sasa msiba upo Kigamboni jijini Dar es Salaam wakati taratibu nyingine zikiendelea kabla ya kuelekea Kigoma.Michuzi Blogu itaendelea kutoa taarifa za msiba huo kadri zinavyotufikia.

HISTORIA FUPI YA DK.KABURU

Dk. Kaburu alizaliwa 23 Mei mwaka 1949 na enzi za uhai wake amefanya shughuli mbalimbali za ujenzi wa nchi na amekuwa kwenye nafasi mbalimbali za uongozi na hasa kwenye vyama vya siasa nchini.

Enzi za uhai wake Dk. Kaburu amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema na akiwa kwenye nafasi hiyo alifanya kazi kubwa ya kuuimarisha upinzani na hasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema).

Ambapo uongozi wake kwenye nafasi hiyo alifanikiwa kushawishi wananchi wengi wa Mkoa wa Kigoma kujiunga Chadema.Hata hivyo Septemba mwaka 2006 alijiunga na CCM na Oktoba mwaka 2012 akawa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma.

Pia Dk. Kaburu enzi za uhai wake amewahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki kuanzia Juni 5 mwaka 2007 hadi Juni 4 mwaka 2012.


Hivyo makala MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA

yaani makala yote MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mwili-wa-dk-amani-kaburu-kusafirishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWILI WA DK. AMANI KABURU KUSAFIRISHWA KESHO KIGOMA"

Post a Comment