MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI.

MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI.
kiungo : MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI.

soma pia


MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI.

Na Fredy Mgunda -Iringa.

MJUMBE wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas amempongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Rose Tweve kwa kuinua uchumi wa wananchi kwa kutoa kiasi cha shilingi laki sita (600,000) kwa kata kumi na saba za wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. 

Akingumza wakati wa baraza la UWT wilaya ya Mufindi Salim Asas alisema kuwa amefurahishwa na mkakati mbunge Rose Tweve kwa kufanikiwa kuwafikia wananchi wa kipato cha chini kabisa ambao ndio wanastahili kuinuliwa kiuchumi kuliko wananchi ambao tayari wanauchumi mkubwa.

“Kwa kweli niwe muwazi kuwa nimefurahishwa na hiki kitu ambacho huyu mbunge anakifanya kwa kuwawezesha wananchi ambao ndio serikali ya awamu ya tano inataka kuwafikia na kuwainua kiuchumi” alisema Asas

Asas aliwata wabunge wengine kuiga mfano wa mbunge Tweve kwa kazi anayoifanya ya kuwawezesha akina mama na wananchi wengi kwa kuwa hiyo ndio inakuwa faida kwa taifa.“Naombeni wabunge wangu wote tufanye kazi kama anayoifanya mbunge Rose Tweve kwa kuwafikia wananchi wa chini ambao mara nyingi imekuwa vigumu kuwafikia kutokana na sababu mbalimbali” alisema Asas
Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas amempongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Rose Tweve kwa kuinua uchumi wa wananchi kwa kutoa kiasi cha shilingi laki sita (600,000) kwa kata kumi na saba za wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. 
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringakupitia chama cha mapinduzi Rose Tweve akiongea mbele ya baraza kwa kuonyesha furaha yake mbele ya mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas baada ya kuambiwa kuwa ataongezewa shilingi milioni kumi na nane kwa ajili ya maendeleo ya akina wanawake wa wilaya ya Mufindi
viongozi mbalimbali na wabunge wa viti maalum walihudhuria baraza hilo.



Hivyo makala MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI.

yaani makala yote MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mnec-salim-asas-ampongeza-mbunge-rose.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MNEC SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI."

Post a Comment