title : Mkuu wa Takwimu Zanzibar atoa takwimu za bei
kiungo : Mkuu wa Takwimu Zanzibar atoa takwimu za bei
Mkuu wa Takwimu Zanzibar atoa takwimu za bei
Mkuu wa Takwimu za Bei Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham kulia akuzungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.2 kwa mwezi wa January hadi asilimia 4.8 kwa February hafla iliofanyika Ofisini kwake Mazizini Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya kutolewa Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.2 kwa mwezi wa January hadi asilimia 4.8 kwa February hafla iliofanyika Ofisini ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Habari Maelezo Takdiri Ali Suwed akiuliza maswali katika hafla ya kutolewa Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.2 kwa mwezi wa January hadi asilimia 4.8 kwa February hafla iliofanyika Ofisini ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Mjini Zanzibar.
Mkuu wa Takwimu za Bei Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham kushoto akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.2 kwa mwezi wa January hadi asilimia 4.8 kwa February hafla iliofanyika Ofisini kwake Mazizini Mjini Zanzibar.kulia ni Mchumi kutoka Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Dk,Suleiman Simai Msaraka.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Mkuu wa Takwimu Zanzibar atoa takwimu za bei
yaani makala yote Mkuu wa Takwimu Zanzibar atoa takwimu za bei Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Takwimu Zanzibar atoa takwimu za bei mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mkuu-wa-takwimu-zanzibar-atoa-takwimu.html
0 Response to "Mkuu wa Takwimu Zanzibar atoa takwimu za bei"
Post a Comment