MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox

MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox
kiungo : MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox

soma pia


MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox



Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza S. Johari amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Shirikisho la Kimataifa la Huduma za Anga na Uongozaji Ndege (CANSO)akichukua wadhifa huo kutoka kwa Thabani Mthiyane wa Afrika Kusini aliyehudumu katika nafasi hiyo kwa miaka sita.

 Bwana Johari ambaye atakuwa kwenye wadhifa huo kwa miaka mitatu, amechanguliwa tarehe 5 Machi 2018 katika mkutano wa CANSO unaofanyika Madrid Hispania na anatarajiwa kuthibitishwa katika mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa CANSO uliopangwa kufanyika mwezi Juni Bangkok, Thailand. Kutokana na uteuzi huo, Bwana Johari anakuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya CANSO (EXCOM) ambacho ndicho chombo cha juu cha usimamizi wa shughuli za shirikisho hilo. Bwana Mthiyane anatarajiwa kukabidhi majukumu ya mwenyekiti wa CANSO Afrika kwa Johari baina ya mwezi Machi na Juni 2018.

 Tunapenda kumpongeza Mkurugenzi Mkuu wa TCAA na kumtakia mafanikio katika majukumu haya mapya CANSO ni Shirikisho la Kimataifa la Huduma za Anga na Uongozaji Ndege za Kiraia Duniani. Wanachama wa CANSO wanatoa huduma hizo kwa asilimia 85 kote duniani. Wanachama wa shirikisho wanabadilishana taarifa na kuandaa sera zinazolenga kuboresha huduma za anga na uongozaji ndege.

IMETOLEWA NA OFISI YA HABARI MAMLAKA YA USAIFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA)



Hivyo makala MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox

yaani makala yote MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mkurugenzi-mkuu-tcaa-achaguliwa-kuwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKURUGENZI MKUU TCAA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CANSO KANDA YA AFRIKA Yahoo / Inbox"

Post a Comment