title : MKURUGENZI ATOA POLE KWA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MBAGALA RANGI TATU
kiungo : MKURUGENZI ATOA POLE KWA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MBAGALA RANGI TATU
MKURUGENZI ATOA POLE KWA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MBAGALA RANGI TATU
MKURUGENZI wa Halmashauri wa Temeke jijini Dar es Salaam, Nassib Mmbagga ametoa pole kwa wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi tatu ambao wamepoteza mali zao baada ya kuungua kwa soko hilo.
Soko hilo ambalo lilikuwa na wafanya biashara zaidi ya 500 lilianza kuteketea usiku wa kumkia leo.
Akizungumza leo,Mkurugenzi amesema Halmashauri imepanga kukutana na wafanyabiashara waliokuwa wakifanya biashara katika soko hilo.
Amesema lengo ni kuangalia ni jinsi gani halmashauri itawasaidia
Vibanda vilivyokuwa vinamilikiwa na wafanyabiashara wa Soko la Mbagala Rangi Tatu vikiwa vimeteketea kwa moto.
Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la tukio
Hivyo makala MKURUGENZI ATOA POLE KWA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MBAGALA RANGI TATU
yaani makala yote MKURUGENZI ATOA POLE KWA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MBAGALA RANGI TATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI ATOA POLE KWA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MBAGALA RANGI TATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mkurugenzi-atoa-pole-kwa.html
0 Response to "MKURUGENZI ATOA POLE KWA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MBAGALA RANGI TATU"
Post a Comment