title : MEYA WA MANISAA YA ILALA AFUNGA MASHINDANO YA MPIRA WA PETE YA MKOA WA DAR ES SALAAM
kiungo : MEYA WA MANISAA YA ILALA AFUNGA MASHINDANO YA MPIRA WA PETE YA MKOA WA DAR ES SALAAM
MEYA WA MANISAA YA ILALA AFUNGA MASHINDANO YA MPIRA WA PETE YA MKOA WA DAR ES SALAAM
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akikagua Timu ya Mpira wa pete ya Vingunguti ambayo imeingia fainali katika michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam iliyoratibiwa na (CHANEDA) kwa ajili ya kupata timu wawakilishi wa mkoa huu.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akikagua Timu ya Mpira wa pete ya Mbagala ambapo timu hiyo nayo ilifika hatua ya fainali kwa ajili ya kupata mshinddi atakaye wakilisha Mkoa wa Dar es Salaam katika Mashindano ya Afrika Mashariki.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akizungumza na Timu zote mbili kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali kw atimu zilizoshiriki ligi ya mkoa wa Dar es Salaam
Timu za Mchezo wa mpira wa Pete kwa wanaume zikimenyana wakati wa mchezo wa fainali ya mkoa wa Dar es Salaam
Mashabiki wakifatilia michezo fainali ya mpira wa pete wa Wanaume kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Hivyo makala MEYA WA MANISAA YA ILALA AFUNGA MASHINDANO YA MPIRA WA PETE YA MKOA WA DAR ES SALAAM
yaani makala yote MEYA WA MANISAA YA ILALA AFUNGA MASHINDANO YA MPIRA WA PETE YA MKOA WA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MEYA WA MANISAA YA ILALA AFUNGA MASHINDANO YA MPIRA WA PETE YA MKOA WA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/meya-wa-manisaa-ya-ilala-afunga.html
0 Response to "MEYA WA MANISAA YA ILALA AFUNGA MASHINDANO YA MPIRA WA PETE YA MKOA WA DAR ES SALAAM"
Post a Comment