title : Mahafali ya Chuo cha Amali Mkokotoni
kiungo : Mahafali ya Chuo cha Amali Mkokotoni
Mahafali ya Chuo cha Amali Mkokotoni
Wanafunzi wa Chuo cha Amali Mkokotoni wakionyesha mchezo wa maigizo kuonyesha athari zinazowakuta wanafunzi wanapojuhusisha na matumizi ya dawa za kulevya wakati wa masomo katika mahafali ya tano ya Kituo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja . Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
Wanafunzi wakionyesha matokeo ya masomo yanayowapata wanafunzi kutokana na kutokana na matumizi ya Dawa za kulevya. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Tumbatu Juma Othman Hija akiwapa nasaha wanafunzi waliyohitimu Mafunzo ya Ufundi katika Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
Mgeni Rasmi akimkabidhi Cheti mmoja wa wahitimu Vuai Silima Juma katika Mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
Mmoja wa Wanafunzi Pili Omar Jafar katika fani ya Ushoni akizawadiwa zawadi ya Henga ya Nguo na walimu wake baada ya kufanya vizuri katika masomo yake. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja na Walimu wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
Mgeni Rasmi akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu wa fani mbalimbali wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
Na Ali Issa Maelezo
Vijana wanaomaliza mafunzo katka V ituo na Vyuo vya mafunzo ya Amali Zan zibar wametakiwa kutumia fursa ya mafunz o wanayoyapata kujiajiri wenyewe i li na kusubiri ajira Serikalini.
Hayo yamesemwa leo huko Kituo cha Mafunz oya Amali Mkokotoni Mkoa wa kaskazini Unguja na Mbunge w ajimbo la Tumbatu Juma Othuman Haji wakati wa utoaji wa vyeti katika mah afali ya tano ya kituo hicho kwa wana funzi wa kozi mbambali waliomaliza mafunzo yao .
Amesema si vyema kwa wanafunzi hao k umaliza masomo yao na kupata vyeti v ya kitaalamu baadae vijana hao kushi ndwa kujiajiri wenyewe na badala ya ke kujiingiza katika makundi yalio kata tamaa na kujiunga katika dimbw i la maovu.
“ Itumieni fursa hii kujiajiri kwani sasa serikali imeweka vituo hivi il i vijana wake waweze kujiajiri weny ewe nasi vyema vyeti hivi vikaishia hapa na ujuzi kupotea”, alisema Mbunge huyo.
Aidha alisema kuwa kuna baadhi ya vi jana wana tabia ya kuipuuza elimu ya amali lakini watambue kwamba dunia ni kote elimu ya amali hutumika kuwa kombowa vijana na kuwa waledi kujit afutia riziki zao.
Alifahamisha kuwa vyuo vya Amali vi mekuwa vikitoa watalamu mbalimbal i ambapo wengi wao wameshika nyadhi fa serikalini na klitumikia taifa.
Nae Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hi cho Bakari Ali Silima Kituo hicho kimekuwa kikito a kozi mbalimbali ikiwemo ufundi us honi, ufumaji, umeme, umeme wa magari na elekroniki, fundi mafriji na viyoyozi, fundi muwashi, seremala, upishi, upambaji, miferiji, udereva na ukodishaji wa mashamian i utaanza mwakahuu.
Hata hivyo aliwataka wahitimu hao k ukaa kwa vikundi ili kuweza kuanzis ha miradi kwa kupatiwa zana za kufan yia kazi kwa lengo la kujendeleza kimaisha
alisema kuwa chuo hicho hivi karibu ni wametia komputa 50 na vifaa vyengine vya kutosha ambav yo vitatumika kwa kusomeshea kwa viendo ili kuwapa uelewa zaidi wanaf unzi wao.
Mapema wakisoma risala walisema ku wa Kituo hicho kimekuwa kikikabili wa na changamoto mbalimbali ikiwem o ukosefu wa maji na uzio pamoja na ny umba za walimu na dakhalia kwa wanafu nzi jambo ambalo linaleta usumbufu mkubwa kituoni hapo.
Hivyo makala Mahafali ya Chuo cha Amali Mkokotoni
yaani makala yote Mahafali ya Chuo cha Amali Mkokotoni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mahafali ya Chuo cha Amali Mkokotoni mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mahafali-ya-chuo-cha-amali-mkokotoni.html
0 Response to "Mahafali ya Chuo cha Amali Mkokotoni"
Post a Comment