MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA

MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA
kiungo : MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA

soma pia


MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA

Mganga Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr, Rashid Mfaume (wa tatu kushoto) akifungua  shughuli za uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno kwa watoto waliopo katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija, Mkoani Shinyanga katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani, Ambapo Kitaifa yatafanyika Machi 20, 2018,Tarime Mkoani Mara . Kuanzia kushoto ni Kiongozi wa msafara huo ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga, Mwalimu msaidizi wa kituo hicho, Mohamed Makana na kushoto kwa mgeni rasmi ni Daktari wa Meno Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Nuru Mpuya. (Picha na Khamis Mussa ) 
Mlezi Jackson Leonard (kushoto) na Mlezi Flora Kankutebe wakifatilia jambo wakati watoto hao walipokuwa wakifanyiwa uchunguzi huku watoto wendine wakiwa katika msitari wakisubiri kufanyiwa uchunguzi.
Mwalimu msaidizi wa kituo hicho, Mohamed Makana akiwakaribisha wageni na kutoa utangulizi wa kituo hicho
Dakt. Bingwa wa Magonjwa ya Kinywa na Meno kwa Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr, Conrad Mselle akionyesha kwa mfano namna nzuri ya upigaji mswaki kwa Zephania Bahebe mmoja kati ya watoto wanaoishi katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija, Mkoani Shinyanga katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani, Ambapo Kitaifa yatafanyika Machi 20, 2018,Tarime Mkoani Mara.



Hivyo makala MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA

yaani makala yote MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/madaktari-wa-chama-cha-madaktari-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MADAKTARI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA KINYWA,MENO WATOA HUDUMA YA AFYA BUHANGIJA SHINYANGA"

Post a Comment