LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI

LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI
kiungo : LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI

soma pia


LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya kazi, Mhe. William Lukuvi ametaja maboresho kadhaa yaliyofanyika katika Wizara ya Ardhi.
Mhe. Lukuvi aliyasema hayo alipokutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwl. Nyerere, Mzee Joseph Butiku alipofika ofisini kwake leo, katika kanda ya ofisi ya Ardhi - Dar es Salaam.
Akieleza Maendeleo yanayofanyika sasa katika eneo la Urasimishaji; Mhe Lukuvi alieleza kuwa zoezi la Urasimishaji sasa linaendelea kwa kasi, na kutolea mfano wa Jiji la Mwanza kuwa zoezi hilo linafanyika kwa mafanikio makubwa. Alisema; “Mpaka sasa viwanja 35,000 vimeshapimwa na Hati 12,000 kutolewa  katika wilaya za Ilemela na Nyamagana.  
Mhe. Lukuvi alisema baadhi ya maeneo mengine ambayo yamefanya zoezi la Urasimishaji kwa kiwango cha kuridhisha ni pamoja na Kimara na Makongo ambapo Wananchi wenyewe wamekuwa wahusika wakuu katika kuhakikisha kuwa wamezingatia miongozo waliopewa na Wizara kufanikisha zoezi hilo, ikiwepo kuzingatia kuainisha miundombinu muhimu kama  njia za barabara, maji , umeme n.k.
Akiendelea kufafanua jinsi eneo la Upimaji wa viwanja lilivyoboreshwa. Mhe. Waziri ameeleza kuwa sasa kuna kampuni 48 za upimaji ambazo zimesajiliwa na kuidhinishwa na Wizara, na zinazoendelea  sasa na kufanya upimaji wa viwanja katika maeneo mbalimbali nchini.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya kazi, Mhe. William Lukuvi akionyesha muonekano wa Hati ya Kielektroniki inavyotarajiwa kuwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwl. Nyerere; Mzee Joseph Butiku alipofika ofisini kwake leo, katika kanda ya ofisi ya Ardhi - Dar es Salaam.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya kazi, Mhe. William Lukuvi akionyesha moja ya ramani za Mipango Miji kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwl. Nyerere, Mzee Joseph Butiku alipofika ofisini kwake leo, katika kanda ya ofisi ya Ardhi - Dar es Salaam
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya kazi, Mhe. William Lukuvi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwl. Nyerere, Mzee Joseph Butiku na msaidizi wake walipofika ofisini kwake leo, katika kanda ya ofisi ya Ardhi - Dar es Salaam.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI

yaani makala yote LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/lukuvi-aeleza-maboresho-yaliyofanyika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "LUKUVI AELEZA MABORESHO YALIYOFANYIKA KATIKA SEKTA YA ARDHI"

Post a Comment