Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam

Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam
kiungo : Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam

soma pia


Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akikagua Timu ya Mpira wa pete ya Vingunguti ambayo imeingia fainali katika michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam iliyoratibiwa na (CHANEDA) kwa ajili ya kupata timu wawakilishi wa mkoa huu.
  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akikagua Timu ya Mpira wa pete ya Mbagala ambapo timu hiyo nayo ilifika hatua ya fainali kwa ajili ya kupata mshinddi atakaye wakilisha Mkoa wa Dar es Salaam katika Mashindano ya Afrika Mashariki.
  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akizungumza na Timu zote mbili kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali kw atimu zilizoshiriki ligi ya mkoa wa Dar es Salaam
 Timu za Mchezo wa mpira wa Pete kwa wanaume zikimenyana wakati wa mchezo wa fainali ya mkoa wa Dar es Salaam
Mashabiki wakifatilia michezo fainali ya mpira wa pete wa Wanaume kwa mkoa wa Dar es Salaam.


Hivyo makala Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam

yaani makala yote Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kumbilamoto-afunga-michezo-ya-mpira-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kumbilamoto afunga michezo ya mpira wa pete ya mkoa wa Dar es Salaam"

Post a Comment