title : KAMISHNA MKUU WA TRA AFUNGUA MKUTANO WA MAKAMISHNA WA FORODHA DSM.
kiungo : KAMISHNA MKUU WA TRA AFUNGUA MKUTANO WA MAKAMISHNA WA FORODHA DSM.
KAMISHNA MKUU WA TRA AFUNGUA MKUTANO WA MAKAMISHNA WA FORODHA DSM.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (kulia) akizungumza na Makamishna wa Forodha wa Afrika Mashariki mara alipofungua mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala mbalimbali ya kiforodha baina ya nchi za Afrika Mashariki 7 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Forodha wa Afrika Mashariki mara alipofungua mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala mbalimbali ya kiforodha baina ya nchi za Afrika Mashariki 7 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala KAMISHNA MKUU WA TRA AFUNGUA MKUTANO WA MAKAMISHNA WA FORODHA DSM.
yaani makala yote KAMISHNA MKUU WA TRA AFUNGUA MKUTANO WA MAKAMISHNA WA FORODHA DSM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA MKUU WA TRA AFUNGUA MKUTANO WA MAKAMISHNA WA FORODHA DSM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kamishna-mkuu-wa-tra-afungua-mkutano-wa.html
0 Response to "KAMISHNA MKUU WA TRA AFUNGUA MKUTANO WA MAKAMISHNA WA FORODHA DSM."
Post a Comment