title : Hongera Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
kiungo : Hongera Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Hongera Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
HONGERA NAIBU KATIBU MKUU
Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe Hassan Khamis Hafidh ( Kulia) akiwa na Naibu Mkurugenzi Idara Habari MAELEZO Zanzibar, Dk Juma Mohammed Salum (Kushoto) wakimpongeza Abdallah Hassan Mitawi ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar. Kabla ya Uteuzi huo, Abdallah Mitawi alikuwa Katibu binafsi wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar.
Hivyo makala Hongera Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
yaani makala yote Hongera Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hongera Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/hongera-naibu-katibu-mkuu-ofisi-ya.html
0 Response to "Hongera Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais"
Post a Comment