title : DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU
kiungo : DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU
DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Shaaban Seif .Balozi Mohammed kuwa Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Khadija Bakari Juma kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Omar Hassaan Omar kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo.
[Picha na Ikulu,] 13/03/2018.
Hivyo makala DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU
yaani makala yote DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dkshein-awaapisha-viongozi-makatibu.html
0 Response to "DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU"
Post a Comment