title : DC TABORA AHIMIZA MATUMIZI YA DAWA ZA KUUWA WADUDU KWA WAKULIMA
kiungo : DC TABORA AHIMIZA MATUMIZI YA DAWA ZA KUUWA WADUDU KWA WAKULIMA
DC TABORA AHIMIZA MATUMIZI YA DAWA ZA KUUWA WADUDU KWA WAKULIMA
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mwenye koti la Bluu ) akitoa maelezo ya matumizi sahihi ya dawa za kuua wadudu kwa wakulima wa pamba katika Wilaya ya Nzega. Mkuu wa Mkoa huyo alikuwa katika ziara maalumu ya kuhamasisha matumizi sahihi ya dawa mbalimbali katika mashamba ya wakulima wa pamba katika sehemu mbalimbali Wilayani humo.
Mshauri wa Masuala ya Kilimo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Modest Kaijage (mwenye shati nyeupe) akitoa kwa wakulima namna ya kuwatambua wadudu mbalimbali waharibifu wa zao la pamba katika Kijiji cha Mogwa Wilayani Nzega wakati wa ziara maalumu ya Mkuu wa Mkoa huo kuhamasisha matumizi sahihi ya dawa mbalimbali kuua wadudu katika mashamba ya wakulima katika sehemu mbalimbali Wilayani Nzega.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mwenye koti la Bluu ) akitoa elimu Wilayani Nzega juu ya matumizi ya dawa ya kuua wadudu waharibifu wa pamba aina ya Dudu -All 450EC wakati wa mwendelezo wa kampeni yake ya kuelimisha jamii juu ya matumizi sahihi ya viuawadudu.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kulia ) na Mkuu wa Wilaya ya Nzega Godfrey Ngupula (kushoto) wakigagua shamba la Mkulima wa pamba katika kijiji cha Chamwabo wilayani Nzega ambalo lilikuwa limeathiriwa na juu na wadudu waharibifu lakini hivi limeanza kuanza matunda mapya ya pamba(vitumba).
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kulia) akitoa elimu kwa wakulima wa pamba wa Kijiji cha Budushi wilayani Nzega juu ya matumizi sahihi ya aina mbalimbali ya dawa za kuua wadudu wa zao la pamba. Wengine ni Afisa Ugani Kata ya Kitangili Halima Chezue(wa pili kulia), Mtendaji wa Kijiji cha Budushi Ndimiyake Noah (wa pili kutoka kushoto) na Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kitangili Jesca Kaaya(kushoto)
Miongoni pamba ambayo imetunzwa vizuri na kupuliziwa dawa vizuri ya kuua wadudu waharibifu katika shamba la Mkulima wa Kijiji cha Budushi Christina Bundala kama inavyoonekana.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala DC TABORA AHIMIZA MATUMIZI YA DAWA ZA KUUWA WADUDU KWA WAKULIMA
yaani makala yote DC TABORA AHIMIZA MATUMIZI YA DAWA ZA KUUWA WADUDU KWA WAKULIMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC TABORA AHIMIZA MATUMIZI YA DAWA ZA KUUWA WADUDU KWA WAKULIMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dc-tabora-ahimiza-matumizi-ya-dawa-za.html
0 Response to "DC TABORA AHIMIZA MATUMIZI YA DAWA ZA KUUWA WADUDU KWA WAKULIMA"
Post a Comment