title : DC SINYAMULE ATAKA WANAWAKE SAME WAANDALIWE KUSHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI
kiungo : DC SINYAMULE ATAKA WANAWAKE SAME WAANDALIWE KUSHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI
DC SINYAMULE ATAKA WANAWAKE SAME WAANDALIWE KUSHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI
Mwandishi wetu ,Same
MKUU wa Wilaya ya Same Rosemary Sinyamule amesema Makundi ya wanaweke kuanzia shule ya msingi, sekondari, vyuo, wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wanasiasa, viongozi katika nyanja zote wanatakiwa kukabiliana kuhakikisha Wilaya ya Same inawaandaa wanawake kushika nafasi nyingi zaidi za juu katika uongozi na kuwa kati ya wanawake wanaomiliki biashara kubwa nchini.
Sinyamule amewataka Wanawake hao kuwa na kauli moja tu ya kuwa kumiliki viwanda ni haki yao.
na kuwataka kuanza kutafuta maeneo ya uwekezaji na kufikiria kukua zaidi, kuchukua hatua bila kusubiri, kushikana mkono.
"Serikali ya Wilaya imejipanga kutekeleza kwa vitendo maelekezo ya serikali kuu
yaanza kuanza kuunda mabaraza ya kata, hili yaweze kutenga maeneo ya uwekezaji vijijini na kuainisha maeneo ya wanawake, yaahidi kutoa % ya wanawake, vijana na walemavu kwa ukamilifu. pamoja na kuanzisha soko la barabarani kukuza bidhaa za wanawake" Amesema
Amesema wilaya yake kwa kushirikisha wadau kujenga majengo ya kuwezesha viwanda vya wanawake na kutetea haki ya elimu kwa watoto wa kike.
Pia amesema mimba kwa wanafunzi zinaonyesha dalili ya kupungua kwa kipindi cha mwaka 2018 hivyo kuwatka wakzi wa Same kuwatia nguvuni wanaowapa mimba wanafunzi ili nao wapate fundisho na kuvitaka vyombo vya ulinzi kuendelea kuwasaka wote.
Hivyo kuwataka wanawake Same kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Wilaya kwani wengi ni wanawake, wakiweza ni ushindi kwa wanawake wote.
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Rosemary Sinyamule akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Wilaya ya Same yaliyokuwa na lengo la kupinga ukatili kwa Wanawake.
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Rosemary Sinyamule akikagua Bidhaa za Wajasiliamali waliohudhuria katika Maonyesho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Sehemu ya Wanawake waliohudhuria Kongamano la Wanawake lililokuwa likifanyika katika Wilaya hiyo katika maadhisho ya siku ya Wanawake Duniani
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Rosemary Sinyamule , akiwa katika picha ya Pamoja na uongozi wa Wanawake Wilaya ya Same.
Hivyo makala DC SINYAMULE ATAKA WANAWAKE SAME WAANDALIWE KUSHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI
yaani makala yote DC SINYAMULE ATAKA WANAWAKE SAME WAANDALIWE KUSHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC SINYAMULE ATAKA WANAWAKE SAME WAANDALIWE KUSHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dc-sinyamule-ataka-wanawake-same.html
0 Response to "DC SINYAMULE ATAKA WANAWAKE SAME WAANDALIWE KUSHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI"
Post a Comment