title : DC SINYAMULE AAGIZA MTENDAJI KATA YA BOMBO AWEKWE NDANI SAA NANE
kiungo : DC SINYAMULE AAGIZA MTENDAJI KATA YA BOMBO AWEKWE NDANI SAA NANE
DC SINYAMULE AAGIZA MTENDAJI KATA YA BOMBO AWEKWE NDANI SAA NANE
Na Ripota wetu, Same
Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Sinyamule ameagiza wa Kata ya Bombo awekwe ndani chini ya ulinzi mkali kwa saa 8 kutokana na kushindwa kusimamia ujenzi wa bweni la shule ya Sekondari Bombo na kumtaka apewa siku 2 kuleta maelezo kwa nini asichukuliwe hatua.
Dc Sinyamule, amefikia uamuzi huo mara baada ya wataalamu wa kutaka hela za kujenga bweni la Shule ya sekondari ya Bombo zihamishiwe shule nyingine kutokana na wananachi wa kata ya Bombo kutotoa ushirikiano wa kutosha kuhakikisha ujenzi wa bweni hilo unakamilka.
"Fedha za serikali ( P4R) zilipelekwa tangu mapema 2017 na mradi ulitakiwa kuisha Nov. 2017 na Ikitegemewa kuwa kuanzia hapo ujenzi wa bweni uanze na mpaka leo nimefika hapa March 2018 bado hata msingi haujakamilika kujengwa na kutoa sababu zisizo na tija.
Mtendaji huyu ameshindw akusimamia Vizuri majukumu yake ya kuhamasisha watu kushiriki katika miradi ya maendeleo hasa ujenzi wa bweni la shule hii ambayo serikali ilishatoa fedha kilichotakiwa ni nguvu ya wananchi.
Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Sinyamule akikagua Msingi wa Bweni la Shule ya Sekondari Bombo Wialayani hapo ambao umekwama tangu 2017 kutokana na Wananchi kushindw akujitokeza kuchangia ujenzi huo.
Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Sinyamule akikagua, akiwa ameongozana na Wataalamu kutoka Wilayani kukagua Madarasa yaliyojengwa tangu 2017 bila kukamilika.
Hivyo makala DC SINYAMULE AAGIZA MTENDAJI KATA YA BOMBO AWEKWE NDANI SAA NANE
yaani makala yote DC SINYAMULE AAGIZA MTENDAJI KATA YA BOMBO AWEKWE NDANI SAA NANE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC SINYAMULE AAGIZA MTENDAJI KATA YA BOMBO AWEKWE NDANI SAA NANE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dc-sinyamule-aagiza-mtendaji-kata-ya.html
0 Response to "DC SINYAMULE AAGIZA MTENDAJI KATA YA BOMBO AWEKWE NDANI SAA NANE"
Post a Comment