Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2

Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2
kiungo : Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2

soma pia


Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2



Mganga Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr, Rashid Mfaume (wa tatu kushoto) akifungua zoezi la uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno kwa watoto waliopo katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija, Mkoani Shinyanga katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani, Ambapo Kitaifa yatafanyika Machi 20, 2018,Tarime Mkoani Mara . Kuanzia kushoto ni Kiongozi wa msafara huo ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga, Mwalimu msaidizi wa kituo hicho, Mohamed Makana na kushoto kwa mgeni rasmi ni Daktari wa Meno Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr. Nuru Mpuya. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Mlezi Jackson Leonard (kushoto) na Mlezi Flora Kankutebe wakifatilia jambo wakati watoto hao walipokuwa wakifanyiwa uchunguzi huku watoto wendine wakiwa katika msitari wakisubiri kufanyiwa uchunguzi


Dakt. Bingwa wa Magonjwa ya Kinywa na Meno kwa Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr, Conrad Mselle akimpati uji mmoja wa watoto hao huku wengine wa kiwa katika msitari wakisubiri na wao kupatiwa uji
Mwalimu msaidizi wa kituo hicho, Mohamed Makana akiwakaribisha wageni na kutoa utangulizi wa kituo hicho



Mganga Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr, Rashid Mfaume (wa pili kulia) mstari wa mbele katika picha ya pamoja na madaktri hao

Dakt. Bingwa wa Magonjwa ya Kinywa na Meno kwa Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr, Conrad Mselle akionyesha kwa mfano namna nzuri ya upigaji mswaki kwa Zephania Bahebe mmoja kati ya watoto wanaoishi katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija, Mkoani Shinyanga katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani, Ambapo Kitaifa yatafanyika Machi 20, 2018,Tarime Mkoani Mara



Kiongozi wa msafara ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga akimfanyi uchunguzi wa kinywa mmoj wa watoto hao waishio kituoni hapo, Peter Tito , kulia anaye andika ni Daktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Habiba Madjapa

Kiongozi wa msafara ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga akizungumza n waandishi wa habari




Daktari wa Meno Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr. Nuru Mpuya akizungumza na waandishi wa habari


Hivyo makala Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2

yaani makala yote Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/afya-tda-watua-buhangija-kwa-siku-2.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Afya : TDA Watua Buhangija kwa siku 2"

Post a Comment