ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST , Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya ,
makala biashara ,
makala general ,
makala hobby ,
makala karibuni info ,
makala michezo ,
makala siasa ,
makala utamaduni , sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM kiungo :
ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM
ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM
VIDEO Chama cha ACT Wazalendo wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma , kimepata pigo baada ya viongozi wake wa nne na wafuasi 14 ambao ni wananchama kuhamia Chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM). Viongozi hao wamesema wamechukua maamuzi ya kuhamia CCM baada ya kuona utendaji kazi wa Mhe , Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Maguful kuwa ni mzuri,pamoja na kusema chama hicho cha ACT hakina uwezo wala mwelekeo wa kuchukua dola, hivyo wamesema wapo sahihi kuhamia CCM ili kuendana na kasi ya Rais kuweza kuleta maendeleo katika wilaya hiyo ya Tunduru na Taifa kwa ujumla.
Hivyo makala ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM yaani makala yote ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/act-wapata-pigo-viongozi-wa-nne-na.html
Related Posts : UHAMASISHAJI WA USAFI WA MAZINGIRA WILAYA YA CHEMBA WAFANYIKA
Na Shani Amanzi
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Simon Odunga amewataka Wananchi wa Chemba kujali afya zao kwa kufanya usafi wa mazingira kuanzia m… Read More... AWESO AFANYA ZIARA RUANGWA NA NACHINGWEA -LINDI Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb) leo amehitimisha ziara Ruangwa Mkoani Lindi kwa kukagua miradi ya Kitandi, Mihewe na Mbeken… Read More... MANYANYA ,AWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA NDANI
Na.John Luhende
Mwamba wa habari
Naibu wazir wa Viwanda na Biashara na Uwekezaji Eng. Stellah Manyanya , leo a… Read More... NHIF kuanza kampeni ya uandikishaji kijiji kwa kijiji
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akionyesha kitambulisho cha matibabu kupitia mpango wa Ushir… Read More... SERIKALI YAZISHAURI BENKI NCHINI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO KUCHOCHEA UCHUMI WA VIWANDA Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amezitaka Benki nchini kushusha viwango vya riba za mikop… Read More...
0 Response to "ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM"
Post a Comment