title : WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU
kiungo : WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU
WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mh. Jenista Mhagama akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya watu wa Korea Kaskazini Kim Yong Su alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Februari 2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mh. Jenista Mhagama akimueleza Balozi wa Jamhuri ya watu wa Korea Kaskazini Kim Yong Su jinsi ofisi yake inavyoratibu masuala ya kazi na ajira. Katikati ni katibu wa Balozi Jang Myong Su.
Balozi wa Jamhuri ya watu wa Korea Kaskazini Kim Yong Su akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mh. Jenista Mhagama baada ya mazungumzo yaliyofanyika tarehe 12 Februari 2018, jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU
yaani makala yote WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/waziri-jenista-mhagama-akutana-na.html
0 Response to "WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU"
Post a Comment