Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu

Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu
kiungo : Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu

soma pia


Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage akiwa na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe.Hamid M.Mahmoud.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage (wa pili kulia) alipokuwa akiwatambulisha Viongozi aliofuatana nao  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais (katikati) Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe.Hamid M.Mahmoud.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na ujumbe aliofuatana nao.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake   Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifurahia jambo alipokuwa akibadilishana mawazo na  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage (kushoto)wakiwepo na Viongozi wengine baada ya mazungumzo yao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, (Picha na Ikulu).


Hivyo makala Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu

yaani makala yote Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/rais-dk-shein-akutana-na-viongozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Dk Shein akutana na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu"

Post a Comment