MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS

MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS
kiungo : MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS

soma pia


MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu  imesema Machi 1 mwaka huu, itatoa uamuzi dhidi ya maelezo ya onyo yaliyotolewa Polisi na Mbunge wa Kawe Halima Mdee, (Chadema), katika kesi ya kutumia lugha ya matusi (chafu),dhidi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Magufuli yapokelewe kama kielelezo au la.

Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Victoria Nongwa baada ya shahidi wa upande wa mashtaka D/SSGT Albogast  kuomba kuyatoa maelezo hayo ya onyo mahakamani hapo kama kielelezo na Wakili wa Utetezi Peter Kibatala kupinga kwa madai yalichukuliwa nje ya muda.

Hatua hiyo imekuja baada ya Mahakama hiyo kusikiliza pande zote mbili ule wa utetezi na mashtaka na kueleza Machi Mosi, mwaka 2018 atatoa uamuzi kama maelezo hayo ya onyo yapokelewe ama yasipokelewe kama kielelezo.

Katika kesi hiyo, Mdee anadaiwa kuwa, Julai 3, mwaka 2017 katika Makao Makuu ya Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) iliyopo mtaa wa Ufipa Wilaya ya Kinondoni alitumia lugha ya matusi dhidi ya Rais Magufuli kuwa “anaongea hovyohovyo , anatakiwa  afungwe breki” kitendo ambacho kingeweza  kusababisha uvunjifu wa amani.



Hivyo makala MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS

yaani makala yote MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mahakama-kutoa-uamuzi-onyo-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAKAMA KUTOA UAMUZI ONYO LA POLISI,MDEE KESI YA LUGHA CHAFU KWA RAIS"

Post a Comment