title : WADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA
kiungo : WADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA
WADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Elizabeth Tagora akifungua mkutano wa wadau kuhusu mapitio ya Sera ya Ujenzi ya mwaka 2003 na uwasilishwaji wa rasimu ya Sera ya Ujenzi na Mkakati wa Utekelezaji 2018/19- 2029/30 jijini Dar es Salaam.
Mwezeshaji wa majadiliano kuhusu rasimu ya Mkakati wa Utekelezaji wa sera ya Ujenzi ya mwaka 2018/19- 2029/30, Cyril Batalia akiwasilisha mada kwa wadau wa sekta ya ujenzi kuhusu mapitio ya sera mpya ya ujenzi kwenye mkutano wa wadau wa ujenzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wadau wa sekta ya ujenzi wakijadili rasimu kuhusu mapitio ya sera mpya ya ujenzi na mkakati wa utekelezaji wake 2018/19- 2029/30 leo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa sekta ya ujenzi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao cha mapitio ya sera mpya ya ujenzi na mkakati wa utekelezaji wake 2018/19- 2029/30 leo jijini Dar es Salaam(.picha na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii)
Hivyo makala WADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA
yaani makala yote WADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/wadau-wa-sekta-ya-ujenzi-wajadili_22.html
0 Response to "WADAU WA SEKTA YA UJENZI WAJADILI RASIMU YA SERA MPYA"
Post a Comment