Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind

Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind
kiungo : Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind

soma pia


Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind

 Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind
MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amepanga kutimkia nchini India alipokuwa anaishi siku chache zilizopita kwa bwana’ke, baada ya kupigwa kufuli na Naibu Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kutokana na kuweka picha zisizo na maadili mtandaoni (nusu utupu).

Kwa mujibu wa chanzo chetu, baada ya mwanadada huyo kupewa agizo hilo na serikali alipagawa na kuona haoni faida ya kuendelea kuwepo Bongo kwa kipindi hicho kwa kuhofia kuchekwa na watu na kuona bora arudi India kwa mwandani wake aliyekuwa akiishi naye miaka ya nyuma.



Alipotafutwa na paparazi wetu, Pretty alifunguka: “Ni kweli najiandaa ‘soon’ naenda India, maana masharti niliyopewa ni magumu mno kuambiwa hata picha nisiweke mtandaoni imeniuma sana, ili nitii vizuri hili agizo nimeona bora nisiwepo hapa nchini, adhabu ikiisha nitarudi.”


Hivyo makala Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind

yaani makala yote Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/picha-za-utubu-basata-wamkimbiza-bongo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Picha za Utubu, Basata Wamkimbiza Bongo Pretty Kind"

Post a Comment