NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME.

NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME.
kiungo : NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME.

soma pia


NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME.


mwambawahabari
Waumini wa dini ya kiislamu Tanzania wametakiwa kufuata mafunzo na maagizo ya Mtume ili kuweza kupata dhawabu mbele za Mwenyezi Mungu.

Hayo yamesemwa na  Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuber  alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya Maulidi iliyoandaliwa na Kiwanda cha NIDA textile Mills|(T) ltd NAMERA GROUP OF INDUSTIES.  amabapo amewataka Waumini wa dini hiyo kusikiliza na kufuata kile anachokisema Mtume.

"Nitoe wito kwa Waumini wa dini ya Kiislamu kufuata na kusikiliza kile anachokisema Mtume kwa sababu Mtume amefundisha mambo mbalimbali ambayo yana Maslaha kwa binadamu name ulimwengu wao hivyo yawapasa kuangalia Mtume amewafundisha nini Alisema

Kwa upande wake  Shekh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ambaye alizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi pamoja na uongozi mzima wa kiwanda cha NIDA amesema hafla hiyo inafanyika kila mwaka na kwamba katika kufanya hivi kunasaidia amani ya nchi kuendelea kupatikana kwani katika kuadhimisha Maulidi hayo wanafanya maombi hasa ya kuombea taifa.

Aidha amewashukuru uongozi wa NIDA pamoja na kuwapongeza kuweza  kuaanda Maulidi hayo kwani kwa kufanya hivyo wanawakumbusha waumini pamoja na watu wa dini zote kutenda mambo yatakayoleta sawabu mbele za Mwenyezi Mungu.

Hafla hiyo imehudhuriwa na wageni mbalimbali Mgeni rasmi akiwa ni Mh. Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, alieambatana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilali na Viongozi mbalimbali wa dini ya Kiislam 



Mh. Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, pamoja na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilali na Viongozi mbalimbali wa dini ya Kiislam katika picha wakifurahia jambo .



Naibu Meya wa Ilala Mh. Omary Kumbilamoto(kulia) akiwa na General Manager Muhammad Waseem(Katikati) pamoja na kiongozi wa dini.
Mkurugenzi wa Kiwanda cha NIDA Hamza Rafiq (KUSHOTO)akizungumza jambo na General Manager Muhammad Waseem


   Shekh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum  akizungumza katika hafla hiyo.


Baadhi ya waumini wa dini hiyo waliohudhuria katika hafla ya Maulidi iliyoandaliwa na Kiwanda cha NIDA jijini Dar es Salaam.





Mkurugenzi wa Kiwanda cha NIDA Hamza Rafiq akitoa Zawadi  kwa Wageni mbalimbali.


Hivyo makala NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME.

yaani makala yote NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/nida-yafanisha-sherehe-za-maulidmwinyi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NIDA YAFANISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME."

Post a Comment