title : MAOFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA NYAMIONGO, MWISENGE
kiungo : MAOFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA NYAMIONGO, MWISENGE
MAOFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA NYAMIONGO, MWISENGE
Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi, akizungumza jambo wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania kwa Shule za Sekondari za Nyamiongo, Mwisenge na Mokoko ikiwa ni mwendelezo wa utoaji wa elimu kwa Shule za sekondari zilizopo Manispaa ya Musoma, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Sekondari Mwisenge iliyopo Manispaa ya Musoma.
Afisa wa Bunge, kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma Ndg. Bakari kishoma akizungumza wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania kwa Shule za Sekondari za Nyamiongo, Mwisenge na Mokoko ikiwa ni mwendelezo wa utoaji wa elimu kwa Shule za sekondari zilizopo Manispaa ya Musoma, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Sekondari Mwisenge iliyopo Manispaa ya Musoma.
Wanafunzi wa Shule za Sekondari za Nyamiongo, Mwisenge na Mokoko zilizopo Manispaa ya Musoma wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi akizungumza wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania ikiwa ni mwendelezo wa utoaji wa Elimu kwa Shule za Sekondari zilizopo Manispaa ya Musoma, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Sekondari Mwisenge iliyopo Manispaa ya Musoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala MAOFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA NYAMIONGO, MWISENGE
yaani makala yote MAOFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA NYAMIONGO, MWISENGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAOFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA NYAMIONGO, MWISENGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/maofisa-wa-bunge-watoa-elimu-kwa.html
0 Response to "MAOFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA NYAMIONGO, MWISENGE"
Post a Comment