title : MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MUSOMA MJINI.
kiungo : MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MUSOMA MJINI.
MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MUSOMA MJINI.
Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi, akisisitiza jambo wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania kwa Shule za Sekondari za Musoma Mjini, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Musoma Sekondari iliyopo Musoma Mjini. Kulia ni Afisa Elimu wa Manispaa ya Musoma Mjini, Ndg. Exavery Ntambala na kushoto ni Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Musoma, Mwl. Kilonda Salum
Katibu Msaidizi Uhusiano wa Kimataifa kutoka Ofisi ya Bunge Ndg. James Sapali, akizungumza wakati akitoa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania kwa Shule ya Musoma Sekondari pamoja na Shule ya Sekondari ya Songe, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Musoma Sekondari iliyopo Musoma Mjini.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Songe iliyopo Musoma Mjini akiuliza swali kwa Maafisa kutoka Ofisi ya Bunge pale Maafisa hao walipotembelea Shule ya Sekondari ya Musoma kwa ajili ya utoaji wa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Musoma Sekondari iliyopo Musoma Mjini.
Wanafunzi wa Shule za Sekondari za Musoma na Songe wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi na Mratibu wa Dawati la Bunge la Afrika kutoka Ofisi ya Bunge, Ndg. Lawrence Makigi (katikati) akizungumza wakati wa utoaji wa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania, katika tukio lililofanyika leo katika Shule ya Musoma Sekondari iliyopo Musoma Mjini.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Songe pamoja na Shule ya Sekondari ya Musoma wakifuatilia maada inayotolewa na maafisa kutoka Ofisi ya Bunge wakati wa utoaji wa Elimu kwa Shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania uliofanyika leo katika Shule ya Musoma Sekondari iliyopo Musoma Mjini.
Hivyo makala MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MUSOMA MJINI.
yaani makala yote MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MUSOMA MJINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MUSOMA MJINI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/maafisa-wa-bunge-watoa-elimu-kwa-shule.html
0 Response to "MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MUSOMA MJINI."
Post a Comment