Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru.

Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru.
kiungo : Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru.

soma pia


Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru.

Jalada la kesi ya  utakatishaji wa fedha inayomkabili aliyekuwa rais wa (TFF), Jamal Malinzi na wenzake limerudishwa Takukuru  kwa maagizo ya kurekebisha vitu vichache ili kukamilisha iuchunguzi.

Mbali ya Malinzi, wengine ni Katibu wa TFF, Mwesigwa Selestine na Mhasibu wa shirikisho hilo, Msiande Mwanga. Wakili wa serikali kutoka Takukuru, Leornad Swai amedai hayo leo mbele ya Hakimu  Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, pindi shauri hilo lilipoitishwa kwa ajili ya kutajwa.

Swai alidai jalada la kesi hiyo limesharudishwa Takukuru likitokea kwa mkurugenzi wa mashtaka  DPP na kudai wamepewa maelekezo ya kukamilisha baadhi ya uchunguzi.Hata hivyo, wakili wa Utetezi Nehemia Nkonko aliomba upelelezi dhidi ya kesi hiyo ukamilike kwa haraka kwa sababu washtakiwa wapo ndani.

Hakimu Mashauri amahirisha kesi hiyo hadi January 25, 2018 kwa ajili ya kutajwa.Washtakiwa kwa pamoja wanakabiliwa na mashitaka 28, yakiwemo ya kughushi na utakatishaji fedha ambazo ni Dola za Marekani, 375,418.


Hivyo makala Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru.

yaani makala yote Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/jalada-kesi-ya-malinzi-larudi-takukuru.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Jalada kesi ya Malinzi larudi Takukuru."

Post a Comment