title : BREAKING: Salum Njwete "Scorpion" atupwa gerezani miaka Saba na kutakiwa kumlipa aliyemjeruhi fidia ya Sh. milioni 30
kiungo : BREAKING: Salum Njwete "Scorpion" atupwa gerezani miaka Saba na kutakiwa kumlipa aliyemjeruhi fidia ya Sh. milioni 30
BREAKING: Salum Njwete "Scorpion" atupwa gerezani miaka Saba na kutakiwa kumlipa aliyemjeruhi fidia ya Sh. milioni 30
Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii
Mahakama ya wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imemuhukumu Mwalimu wa Sanaa ya kujihami, 'Martial arts' Salum Njwete maarufu kama Scorpion, kutumikia kifungo cha miaka saba gerezani na fidia ya sh. Milioni thelathini ambayo anatakiwa haraka iwekenavyo.
Hukumu hiyo imesomwa baada ya Scorpion kupatikana na hatia katika kesi ya kujeruhi ikiwemo kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho na kuachiwa huru kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha.
Hukumu dhidi ya Njwete ambaye pia ni msanii wa filamu za kibongo na mshindi wa shindano la Dume Challenge ambapo alijinyakulia kitita cha milioni 20 imesomwa na Hakimu Mkazi Wa mahakama hiyo Flora Haule.
Salum Njwete maarufu kama "Scorpion" akitolewa mahakamani leo mara baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya kujeruhi ikiwemo kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho leo kwenye mahakama ya Ilala jijini Dar es Salaam. Picha na Mudy wa Blogu ya Jamii
Said Mrisho(aliyevaa miwani) akitoka mahakamani leo mara baada ya hukumu kutolewa leo.
Hivyo makala BREAKING: Salum Njwete "Scorpion" atupwa gerezani miaka Saba na kutakiwa kumlipa aliyemjeruhi fidia ya Sh. milioni 30
yaani makala yote BREAKING: Salum Njwete "Scorpion" atupwa gerezani miaka Saba na kutakiwa kumlipa aliyemjeruhi fidia ya Sh. milioni 30 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING: Salum Njwete "Scorpion" atupwa gerezani miaka Saba na kutakiwa kumlipa aliyemjeruhi fidia ya Sh. milioni 30 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/breaking-salum-njwete-scorpion-atupwa.html
0 Response to "BREAKING: Salum Njwete "Scorpion" atupwa gerezani miaka Saba na kutakiwa kumlipa aliyemjeruhi fidia ya Sh. milioni 30"
Post a Comment