title : ATHUMAN HAMISI MSENGI KUZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM.
kiungo : ATHUMAN HAMISI MSENGI KUZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM.
ATHUMAN HAMISI MSENGI KUZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM.
Mwambawahabari
Mwili wa Mpendwa wetu mpiganaji Athumani Hamisi Msengi unatarajia kuzikwa leo Januari 5, 2018 baada ya Swala ya Ijumaa na Maziko yatafanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Sinza Madukani Mtaa wa Weruweru (Njia ya Namnani Hotel) Nyumba na 26.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa, shughuli zote ikiwa ni pamoja na za kuswalia maiti zitafanyika nyumbani kwa marehemu kabla ya kupelekwa makaburini Kisutu.
Marehemu Athumani Hamisi, aliyekuwa mpiga picha mkuu wa HabariLeo, alifariki jana asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikofikishwa kwa matibabu baada ya kuzidiwa ghafla usiku akiwa nyumbani kwake.
TUNATOA POLE KWA WOTE MLIOFIKWA NA MSIBA HUU.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa mpigapicha wa magazeti Habari Leo, marehemu Athumani Hamisi nyumbani kwake Sinza jijini.
Hivyo makala ATHUMAN HAMISI MSENGI KUZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM.
yaani makala yote ATHUMAN HAMISI MSENGI KUZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ATHUMAN HAMISI MSENGI KUZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/athuman-hamisi-msengi-kuzikwa-leo.html
0 Response to "ATHUMAN HAMISI MSENGI KUZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM."
Post a Comment