Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo

Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo
kiungo : Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo

soma pia


Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo Januari 21, 2018 amepata pigo

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo Januari 21, 2018 amepata pigo kwa kuondokewa na mama yake mzazi Bi. Ruth Basondole Gwajima ambaye amefariki asubuhi ya leo.
Gwajima amesema kuwa mama yake mzazi amefariki akiwa na umri wa miaka 84 na kuwa mazishi ya mama yake mpendwa yatafanyika siku ya Alhamisi ya Januari 25, 2018 siku ya Alhamisi Salasala jijini Dar es Salaama. 
"Leo Saa mbili asubuhi mama yangu Mzazi, Bi Ruth Basondole Gwajima ametwaliwa na Bwana. Karudi Mbinguni akiwa na Umri wa Miaka 84. Kuna Furaha ya Ajabu Shujaa Wangu Amerudi kwao. Kwasababu katika maisha yake alimtumikia Mungu. Mazishi yatafanyika Alhamis Tarehe 25/01/2018; Salasala Dar es Salaam" alisema Gwajima


Hivyo makala Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo

yaani makala yote Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/askofu-gwajima-apata-pigo-kubwa-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Askofu Gwajima apata pigo kubwa leo"

Post a Comment