title : Tanzania Bara yabanwa, Kenya yaanza vyema kombe la Chalenji
kiungo : Tanzania Bara yabanwa, Kenya yaanza vyema kombe la Chalenji
Tanzania Bara yabanwa, Kenya yaanza vyema kombe la Chalenji
Manahodha wa Timu za Libya na Tanzania bara wakiwa katika picha ya Pamoja kabla ya kuanza mchezo wao . Mechi ilimalizika kwa sare ya bila kufungana
Kikosi cha Timu ya Libya ambacho kinashiriki mashindano ya CECAFA kama mwalika kklichomenyana na Timu ya Taifa ya Tanzania Bara , Kilimanjaro Stars
Na Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.
Wenyeji wa Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP timu ya Taifa ya Kenya wameenza vyema baada ya leo kuifunga Rwanda mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa saa 8 za mchana katika uwanja wa Bukhungu huko Kakamega .
Mabao ya Kenya yamefungwa na Maasud Juma na Dancon Otieno.
Na katika uwanja wa Kenyata huko Mjini Machakos timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) wakatoka sare ya 0-0 dhidi ya Libya.
Mashindano hayo yataendelea tena kesho kwa kupigwa mchezo mmoja kati ya Uganda dhidi ya Burundi Saa 9:00 Alaasiri katika uwanja wa Bukhungu huko Kakamega .
Hivyo makala Tanzania Bara yabanwa, Kenya yaanza vyema kombe la Chalenji
yaani makala yote Tanzania Bara yabanwa, Kenya yaanza vyema kombe la Chalenji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania Bara yabanwa, Kenya yaanza vyema kombe la Chalenji mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/tanzania-bara-yabanwa-kenya-yaanza.html
0 Response to "Tanzania Bara yabanwa, Kenya yaanza vyema kombe la Chalenji"
Post a Comment