title : TAASISI YA HER INITIATIVE 'PANDA' WATOA SEMINA SHAWISHI KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWANZA LEO.
kiungo : TAASISI YA HER INITIATIVE 'PANDA' WATOA SEMINA SHAWISHI KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWANZA LEO.
TAASISI YA HER INITIATIVE 'PANDA' WATOA SEMINA SHAWISHI KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWANZA LEO.
Mchekeshaji na Mshindi wa Big Brother Afrika 2014,Idrisa Sultan akizungumza leo katika semina ya kuwashawishi wanafunzi wa vyuo vikuu jijini Mwanza iliyofanyika katika Darasa la M12 katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino jijini Mwanza.
Msemaji na innovator katika fursa za kimataifa, Banji Fernandes akizungumza na wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya jijini Mwanza kwaajili ya kuwavutia kwa njia mbalimbali kutokana na aliyoyapitia katika maisha ya shule pamoja na maisha ya Kawaida.Pia amewashauri wanafunzi hao wa vyuo vikuu vya jijini Mwanzakusoma kwa bidii pamoja na kuwa wavumilivu kwenye vikwazo mbalimbali wanavyokutana navyo. Hayo yamesemwa katika semina fupi ya kuwashawishi iliyoandaliwa na Taasisi ya her initiative Present PANDA iliyofanyika katika Darasa la M12 katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino jijini Mwanza leo.
Msanii wa Bongo Muvi na Majasiliamali na mshawishinkatika upande wa sanaa, Rose Ndauka akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu jijini Mwanza katika semina iliyofanyika leo katika chuo kikuu cha Makatifu Agustino jijini humo.
Hivyo makala TAASISI YA HER INITIATIVE 'PANDA' WATOA SEMINA SHAWISHI KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWANZA LEO.
yaani makala yote TAASISI YA HER INITIATIVE 'PANDA' WATOA SEMINA SHAWISHI KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWANZA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA HER INITIATIVE 'PANDA' WATOA SEMINA SHAWISHI KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWANZA LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/taasisi-ya-her-initiative-panda-watoa.html
0 Response to "TAASISI YA HER INITIATIVE 'PANDA' WATOA SEMINA SHAWISHI KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWANZA LEO."
Post a Comment