title : Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatiliana Saini na Kampuni ya ADPI Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Zanzibar
kiungo : Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatiliana Saini na Kampuni ya ADPI Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatiliana Saini na Kampuni ya ADPI Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Zanzibar
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboudjumbe akitiliana saini na Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe kushoto wakibadilishana Mikataba na Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe akizungumza machache kabla ya Utiliaji saini na Kampuni ya ADPI Ingenierie kutoka Ufaransa kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Muakilishi kutoka Kampuni ya ADPIngenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin akizungumza machache kabla ya Utiliaji saini kuhusiana na Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Gari aina ya Buldoza likiendelea kusafisha katika sehemu ya Uwanja wa ndege Terminal Theree katika muendelezo wa Ujenzi wa Uwanja huo Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.
Hivyo makala Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatiliana Saini na Kampuni ya ADPI Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Zanzibar
yaani makala yote Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatiliana Saini na Kampuni ya ADPI Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatiliana Saini na Kampuni ya ADPI Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/serikali-ya-mapinduzi-zanzibar.html
0 Response to "Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Yatiliana Saini na Kampuni ya ADPI Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Zanzibar"
Post a Comment