title : RASMI KWASI AANZA MAZOEZI NA UZI WA SIMBA, AANZA NA MCHANGA WA COCO BEACH
kiungo : RASMI KWASI AANZA MAZOEZI NA UZI WA SIMBA, AANZA NA MCHANGA WA COCO BEACH
RASMI KWASI AANZA MAZOEZI NA UZI WA SIMBA, AANZA NA MCHANGA WA COCO BEACH
Beki na kiungo kiraka mpya wa Simba, Asante Kwasi rasmi ameanza mazoezi akiwa na uzi wa klabu hiyo.
Kwasi aliyewasili jijini Dar es Salaam, jana jioni akitokea Iringa, ameanza mazoezi kwenye ufukwe wa Coco.
Raia huyo wa Ghana ndiye alikuwa gumzo zaidi wakati Simba ikifanya juhudi za kumsajili na Lipuli FC wakipinga.
Hata hivyo, baadaye timu hizo zilifikia mwafaka na mwisho Kwasi sasa ni mali ya Simba.
Hata hivyo, ili awe mali ya Simba mchezaji huyo ilikuwa ni lazima aonekane katika uzi wa Simba na si ule wa Lipuli ambao wengi walikuwa wakiufananisha na wa Simba.
Hivyo makala RASMI KWASI AANZA MAZOEZI NA UZI WA SIMBA, AANZA NA MCHANGA WA COCO BEACH
yaani makala yote RASMI KWASI AANZA MAZOEZI NA UZI WA SIMBA, AANZA NA MCHANGA WA COCO BEACH Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RASMI KWASI AANZA MAZOEZI NA UZI WA SIMBA, AANZA NA MCHANGA WA COCO BEACH mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rasmi-kwasi-aanza-mazoezi-na-uzi-wa.html
0 Response to "RASMI KWASI AANZA MAZOEZI NA UZI WA SIMBA, AANZA NA MCHANGA WA COCO BEACH"
Post a Comment