title : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Meja Staaf Juma Kassim Tindwa
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Meja Staaf Juma Kassim Tindwa
Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Meja Staaf Juma Kassim Tindwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakishiriki katika Sala ya kuuombea dua Mwili wa Marehemu Mtumwa Mgeni , mama mzazi wa Meja Mstaaf na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ., Mhe. Juma Kassim Tindwa, sala hiyo imefanyika katika msikili wa Kilimani na kuzikwa katika makaburi ya Kwarara.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni Mama mzazi wa Meja Mstaaf Juma Kassim Tindwa katika makaburi ya Kwarara mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na waombolezaji wengine wakiitikia dua inayosomwa na Sheikh Sharif Abdulrahaman Sharif, wakatika wa mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Zanzibar
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Meja Staaf Juma Kassim Tindwa
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Meja Staaf Juma Kassim Tindwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Meja Staaf Juma Kassim Tindwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rais-wa-zanzibar-dk-shein-ahudhuria_26.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Meja Staaf Juma Kassim Tindwa"
Post a Comment