title : Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake
kiungo : Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake
Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, wamepelekwa katika hospital ya Wilaya ya Kiomboi kwa ajili ya matibabu.
Mke wake na watoto wawili wamepewa rufaa, lakini yeye na wanae wengine wawili wapo Hospitali ya Wilaya Kiomboi. Mtoto mmoja hawezi kusafirishwa sababu hali yake sio nzuri.
Hivyo makala Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake
yaani makala yote Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mwenyekiti-wa-ccm-mkoa-apata-ajali-na_26.html
0 Response to "Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake"
Post a Comment