Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili

Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili
kiungo : Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili

soma pia


Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili

Baada ya nyota wa zamani wa Ivory Coast Emmanuel Eboue kupoteza fedha zake kwa mke wake wa zamani hatimaye klabu ya Galatasaray ya Uturuki imempa nafasi ya kuwa kocha.

Eboue ambaye amewahi kutamba na klabu mbalimbali barani Ulaya ikiwemo Arsenal amepewa nafasi ya kuwa kocha msaidizi wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 14 (U-14) ya klabu ya Galatasaray.

Galatasaray imemtaka Eboue kushughulikia leseni yake ya kufundisha soka ili aweze kuanza kibarua rasmi ndani ya timu hiyo ili kuokoa hali yake ya kimaisha.

Klabu hiyo inayoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu soka ya Uturuki, imemwahidi mshahara mnono ili kusaidia kurejesha hali yake nzuri ya kimaisha.

Eboue amejikuta kwenye wakati mgumu wa maisha baada ya mahakama kuamuru mali zote kukabidhi kwa mke wake. Eboue na mke wake waliachana huku akiwa ameandika jina la mkewe katika sehemu kubwa ya mali zake ikiwemo nyumba za kifahari alizokuwa amezinunua kutokana na malipo yake kama mchezaji.


Hivyo makala Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili

yaani makala yote Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/klabu-ya-galatasaray-yamuonea-huruma.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Klabu ya Galatasaray Yamuonea Huruma Eboue na Kumpa Dili Hili"

Post a Comment