Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani

Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani
kiungo : Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani

soma pia


Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo ameondoka jijini hapa kuelekea Chicago Nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa Mameya kutoka sehemu mbalimbali duniani utakaofanyika Desemba 4 hadi 7 mwaka huu.

Mkutano huo unatarajiwa kuhusisha Mameya 182 kutoka sehemu mbalimbali Dunia ambapo pamoja na mambo mengine watajadili suala la utawala bora pamoja na utumishi wa viongozi kwa wananchi.

Aidha katika mkutano huo pia wataangalia na kujadili changamoto za majiji makubwa hususani katika sekta ya Afya, miundombinu, Maji safi na salama, Elimu pamoja na mabadiliko ya tabia ya Nchi.

Desemba 5 Mameya wote waliohudhuria mkutano huo kwa pamoja watashindanisha majiji yaliyofanya vizuri katika sekta ya miundombinu ambapo jiji la Dar es Salaam limeingia kwenye ushindani huo kupitia mradi wa mabasi yaendayo haraka.

Aidha katika ushindani huo, Meya Mwita amesema kuwa ana amini kwamba jiji la Dar es Salaam litaibuka mshindi wa tuzo hiyo kwa kuwa mradi huo umekuwa ukifanya vizuri katika sekta ya usafirishaji na kwamba watanzania wajiandae kwa ajili ya kupokea tuzo hiyo.

Majiji mengine ambayo yanameingia kwenye ushindani huo mbali na jiji la Dar es Salaam ni Mji wa Cape Town, Cairo pamoja na majiji mengine Dunia. Meya Mwita atarajea Nchini Desemba 8 mwaka huu.

Imetolewa leo Desemba 3
Na Christina Mwagala, Afisa Habari Ofisi ya Mstahiki Meya wa jiji.


Hivyo makala Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani

yaani makala yote Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/meya-wa-jiji-la-dar-mwita-ahudhuria.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani"

Post a Comment