Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu

Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu
kiungo : Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu

soma pia


Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu

Mbunge wa Serengeti, Marwa Ryoba Chaha (CHADEMA) amefunguka na kutaja sifa za mtu ambaye alitaka kumuua Tundu Lissu na kusema mtu huyo alishindwa kutekeleza hilo kwa kuwa Mungu hakupanga Lissu aondoke kwa kipindi hicho

Marwa Ryoba amesema hayo kupitia mtandao wake wa Facebook baada ya kuweka picha ya Tundu Lissu akiwa hospitali ya Nairobi Kenya na kusema kuwa Mbunge huyo sasa anaendelea vizuri baada ya kutolewa risasi 16 mwilini. 
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 akiwa mjini Dodoma, baadaye alisafirishwa na kupelekwa nchini Kenya jijini Nairobi ambapo mpaka sasa anapatiwa matibabu huko.


Hivyo makala Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu

yaani makala yote Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mbunge-amtaja-aliyetaka-kumuua-lissu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mbunge amtaja aliyetaka kumuua Lissu"

Post a Comment