Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi

Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi
kiungo : Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi

soma pia


Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi



Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika kikao kilichofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala na Rasilimali Watu kutoka Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. James Kibamba(kulia) akiwasilisha mapendekezo ya marekebisho ya Muundo wa Utumishi wa Idara ya Ustawi wa Jamii uliopitiwa na kujadiliwa na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu kutoka Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Deodatha Makani (kushoto) akifafanua masuala ya Kiutawala kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Mendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.

Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi (kulia) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akisisitiza wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu umuhimu wa uzingatiaji wa Kada zote za Ustawi wa Jamii katika rasimu ya muundo unaopendekezwa kwenye Baraza lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango kutoka Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Atupile Mwambene akitoa ufafanuzi kuboresha rasimu ya marekebisho ya Muundo wa Utumishi wa Idara ya Ustawi wa Jamii kwa wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.

Mwanasheria kutoka Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi.Vicness Mayao akifafanua masuala ya kisheria kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii waliokutana mjini Morogoro Novemba 30, 2017.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto Bibi. Magreth Mussai akitoa maoni yake kuhusu maboresho ya Muundo wa Utumishi kwa Kada ya Ustawi wa Jamii kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.

Mkuu wa chuo cha Buhare Bw. Paschal Mahinyira akitoa hoja kwa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.







Baadhi ya wajumbe wawakilishi wa Watumishi wa Idara Kuu Maendeleo ya Jamii wakifuatilia mijadala mbalimbali iliyojiri katika Baraza la Wafanyakazi wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto lililofanyika mjini Morogoro Novemba 30, 2017.


Picha na Kitengocha Mawasiliano WAMJW


Hivyo makala Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi

yaani makala yote Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/matukio-katibu-mkuusihaba-nkinga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Katibu Mkuu,Sihaba Nkinga afungua Baraza la Wafanyakazi"

Post a Comment