Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi

Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi
kiungo : Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi

soma pia


Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi


 
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Kocha wa zamani wa Baghdad, Azam FC, Jang'ombe Boys, JKU na Miembeni City Mohammed Seif Mzee (King) amefiwa na baba yake mzazi, Seif Mzee aliyefariki jan.

Marehemu Mzee Seif aliwahi kuwa Daktari katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja pia aliwahi kufanya kazi katika Meli ya Mv Mapinduzi.

Marehemu Seif atazikwa leo Jumanne saa 4:00 za asubuhi nyumbani kwao Chaani Kichungwani.


Hivyo makala Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi

yaani makala yote Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/kocha-mohammed-king-afiwa-na-baba-yake.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kocha Mohammed King afiwa na baba yake mzazi"

Post a Comment