KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA

KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA
kiungo : KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA

soma pia


KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA


Na Faudhia Sharifu,Geita

Jumla ya watu 1,412 sawa na asilimia 3.5 wameathirika na virusi vya ukimwi Mkoani Geita uku wanawake wakiwa ni 828 na wanaume wakiwa Ni 584.

Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani ambayo kimkoa yemefanyika kwenye kijiji na kata ya Nyawilimilwa, Mganga Mkuu wa Mkoa wa huo Dkt Japhet Simeo amesema Takwimu za upimaji wa virusi vya UKIMWI ngazi ya jamii Jumla ya watu waliopimwa maambukizi ya VVU katika kipindi cha Aprili hadi Septemba 2017 ni 40,910 wanaume wakiwa ni 22,569 na wanawake 18,341 na ambao wamekutwa na maambukizi ni 1,412.

Na kwamba kutokana na hali hiyo Kiwango kimeendelea kupungua kutokana na mbinu na mikakati mbalimbali za Mkoa dhidi ya maambukizi ya UKIMWI.

Aidha Dkt Simeo ameongeza kuwa Jumla ya wagonjwa 65,825 ambapo wanaume ni 24,812 na Wanawake 41013 Wamekwishaandikishwa kwenye vituo vya Tiba na matunzo ,ambapo ni kuanzia 2012 – Septemba, 2017kati ya hao walioanzishwa dawa ni 52,550 wakiwemo wanaume 19296 na wanawake 33,254 na wanaoendelea na dawa (matibabu ni 32,709 wanaume 11188, na wanawake 19914) ambayo ni sawa na 62.2
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akipewa maelezo na moja kati ya wahudumu wakati alipotembelea banda la huduma za afya kijijini hapo. 
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita,Dkt Japhet Simeo akitoa taarifa ya Mkoa juu ya shughuli ya upimaji na watu ambao wameathirika na virusi vya Ukimwi. 
Baadhi ya viongozi wakimsikiliza mkuu wa Mkoa wakati alipokuwa akihutubia. 
Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa,Mhandisi Robert Luhumbi. 
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akitoa msaada kwa watoto ambao ni yatima waliondokewa na wazazi kutokana na ugonjwa wa UKIMWI. 




Hivyo makala KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA

yaani makala yote KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/kiwango-cha-maambukizi-ya-ukimwi-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA"

Post a Comment