title : IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
kiungo : IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwasili kwa ajili ya kushiriki harambee ya kuchangia ukarabati wa nyumba za askari wa Jeshi hilo, ambapo harambee hiyo iliwashirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo wanasiasa na wafanyabiashara mbalimbali wa mkoa wa Morogoro.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili mkoani Morogoro, kwa ajili ya kushiriki harambee ya kuchangia ukarabati wa nyumba za askari wa Jeshi hilo, ambapo harambee hiyo iliwashirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo wanasiasa na wafanyabiashara mbalimbali wa mkoa wa Morogoro.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt. Kebwe stephen Kebwe (wa pili Kulia), akifuatiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, wakimsikiliza kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Ulrich Matei (aliyesimama), akitoa neno wakati wa harambee ya kuchangia ukarabati wa nyumba za askari wa Jeshi hilo mkoani humo, harambee ambayo iliwashirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo wanasiasa na wafanyabiashara mbalimbali wa mkoa wa Morogoro
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt. Kebwe stephen Kebwe (aliyesimama), akitoa neno mbele ya wanasiasa na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wadau wa maendeleo (hawapo pichani) wakati wa harambee ya kuchangia ukarabati wa nyumba za askari wa Jeshi hilo mkoani humo ilikutoa makazi salama kwa askari. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO
yaani makala yote IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/igp-sirro-aongoza-harambee-ya-kuchangia.html
0 Response to "IGP SIRRO AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UKARABATI WA MAKAZI YA ASKARI MKOANI MOROGORO"
Post a Comment