title : BODI YA USAJILI WA GAZETI NA VIJARIDA YAZINDULIWA
kiungo : BODI YA USAJILI WA GAZETI NA VIJARIDA YAZINDULIWA
BODI YA USAJILI WA GAZETI NA VIJARIDA YAZINDULIWA
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma katikati kushoto akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Unguja.kulia yake ni Naibu Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Chumu Kombo Khamis.
Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dk,Juma Mohammed Salum kushoto akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Unguja
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi waliohudhuria katika Uzinduzi wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Unguja
Mwenyekiti wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida Yussuf Omar Chunda akizungumza machache kuhusiana na Uzinduzi wa Bodi hio katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala BODI YA USAJILI WA GAZETI NA VIJARIDA YAZINDULIWA
yaani makala yote BODI YA USAJILI WA GAZETI NA VIJARIDA YAZINDULIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA USAJILI WA GAZETI NA VIJARIDA YAZINDULIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/bodi-ya-usajili-wa-gazeti-na-vijarida.html
0 Response to "BODI YA USAJILI WA GAZETI NA VIJARIDA YAZINDULIWA"
Post a Comment