WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM

WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu aliyesimama akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem.
 Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem aliyesimama akiongea na baadhi ya  wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa nchini MOI wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es Salaam , katikati waliokaa ni Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na anayefuata ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dkt. Respicious Lwezimula.
 Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem kulia akimkabidhi zawadi ya mchango mkubwa katika Wizara ya Afya Mhe. Ummy Mwalimu kushoto wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es Salaam.
 Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizindua Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait leo jijini Dar es Salaam akiwa na Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Ibrahim Al-Najem.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waziri-ummy-mwalimu-azinduzia-benki-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUZIA BENKI YA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment