WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA
kiungo : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA

soma pia


WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania Balozi Wang Ke alipomtembelea katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.Viongozi hao walizungumza masuala mbalimbali ya Ushirikiano na Uwekezaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akimsikiliza Balozi mpya wa China nchini Wang Ke alipomtembelea katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akifurahia jambo na Balozi mpya wa China nchini Tanzania Balozi Wang Ke alipomtembelea katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania Balozi Wang Ke na Ujumbe wake leo katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akimkaribisha Balozi mpya wa China nchini Ofisi kwake Bungeni leo Mjini Dodoma.Picha na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.


Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA

yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waziri-mhagama-akutana-na-balozi-mpya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA"

Post a Comment